Upokonyaji wa Ardhi (Land Grabs Swahili)

Je, unyakuzi wa mashamba ni nini? Ni kwa nini unyakuzi huu unafanyika na ina madahra gani? Jamii asili dunia nzima wanaona ardhi zao zikitishiwa na sekta za madini, viwanda na kilimo na pia miradi ya maendeleo na kuhifadhi utalii. Filamu hizi zinatazama viwango vya vitisho, wanaoongoza kufanya vitisho hivyo na pia athari za uporaji wa ardhi ulimwenguni. Katika filamu hizi tunasikia taarifa kutoka wanajamii bara la Asia, America ya kusini na Africa ambao ndio wa kwanza kupata dhoruba la athari za unyakuzi wa himaya zao. Himaya za Maisha - Mfululizo wa filamu za watu wa Asili Vifurushi vya Himaya ya Maisha vinatolewa kutumika bure kwa maelfu ya jamii tofauti duniani kote ambako himaya yao zinaongozwa kwa mtindo wa maisha yao ya kijamii. Vifaa vya Himaya ya Maisha vinashirikishwa bure kwa maelfu ya jamii tofauti tofauti dunia nzima ambao himaya zao ni muhimu katika maisha yao.



© 2025 Copyright LifeMosaic
LifeMosaic is a Not for Profit Company Limited by Guarantee (Registered company number: SC300597) and a Charity Registered in Scotland (Scottish Charity number: SC040573)